Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Jumla ya Makatibu 6 wamehamishiwa Wizara zingine katika mabadiliko ya hivi punde yaliyofanywa na Rais William Ruto katika serikali yake. Katika mabadiliko hayo, Dkt. Belio Kipsang amehamishwa kutoka Wizara ya…