Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kanisa la Kiangilikana nchini Kenya, ACK limeelezea kuunga mkono msimamo wa Maaskofu wa Kanisa Katoliki ambao wiki iliyopita walishutumu vikali serikali ya Kenya Kwanza kwa kuzembea kazini. Katika kuinyoshea serikali…