Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Watu kumi walifariki jana Jumamosi kwenye ajali mbaya ya barabarani katika eneo la Mai Mahiu huku wengine wakiachwa na majeraha. Ajali hiyo ya saa sita mchana ilihusisha trela na gari…