Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu Rais aliyebanduliwa madarakani Rigathi Gachagua kwa mara nyingine amepata pigo mahakamani. Hii ni baada ya jopo la majaji watatu Mahakama Kuu kuondoa maagizo yaliyozuia kuapishwa kwa Naibu Rais mteule…