Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Jaji Mkuu Martha Koome ametoa wito kwa maafisa wa polisi kufanya kila wawezalo kuepuka kusababisha maafa wakati wa maandamano ambayo katika siku za hivi karibuni yamekuwa yakishuhudiwa humu nchini. …