Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mshindi wa tuzo katika sanaa ya uigizaji Lupita Nyon’go, amejiunga na wakenya na ulimwengu kwa jumla kumuomboleza aliyekuwa Waziri Mkuu hayati Raila Odinga. Kwenye taarifa yake, muigizaji huyo alimkumbuka Raila…