Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Bingwa wa Olimpiki Peres Jepchirchir ametwaa ubingwa wa makala ya mwaka huu ya mbio za London Marathon, huku akivunja rekodi ya dunia ya wanawake pekee wakati Alexander Mutiso Munyao akishinda…