Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wanachama wa Chama cha Wanasheria wa Kenya (LSK), tawi la Thika, mnamo Ijumaa alasiri waliwasha mishumaa katika eneo la maegesho ya magari la Mahakama ya Thika kumkumbuka mwenzao, Wakili Kyalo…