Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Shirika la huduma kwa wanyamapori (KWS), limethibitisha kuwa halijapata simba katika eneo la Langata kama ilivyodaiwa na wakazi. Shirika hilo limethibitisha hayo leo Alhamisi kupitia ujumbe kwenye mtandao wa X,…