Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa polisi kaunti ya Laikipia wamepokea bunduki iliyokuwa ikimilikiwa kwa njia haramu. Bunduki hiyo aina ya AK-47, ilisalimishwa katika eneo la Louniek, kaunti ndogo ya Kirima, na inahifadhiwa katika…