Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa polisi wamemkamata mshukiwa wa ulanguzi wa mihadarati katika kaunti ya Kwale. Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai DCI, imesema kuwa maafisa hao kutoka katika kituo cha polisi…