Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kenya imezindua uduma za upachikaji wa figo katika hospitali ya Chuo Kikuu cha Kenyatta cha Mafunzo, Rufaa na Utafiti, huku kikifanikisha upachikaji wa figo Mei 7 na 8, 2025. Oparesheni…