Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Ujenzi wa barabara ya juu (flyover) kwenye barabara ya Ngong na Naivasha kwenye makutano ya Junction Mall katika kaunti ya Nairobi umeanza. Mamlaka ya Ustawishaji wa Barabara za Miji (KURA)…