Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wizara ya Afya imefanya mkutano wa mashauriano na Chama cha Madaktari (KMPDU) na kile cha Maafisa wa Kiliniki (KUCO) kuhusiana na malipo ya madaktari wanagenzi. Mashauriano hayo yalihudhuriwa na Katibu…