Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Chuo cha mafunzo ya matibabu nchini, KMTC kimetangaza kuanza kupokea maombi ya kozi katika mabewa ya chuo hicho kupitia tovuti ya Mamlaka ya Kutoa Nafasi kwa Wanafunzi katika Vyuo Vikuu…