Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Msomaji habari wa zamani katika runinga ya KTN Njoroge Mwaura ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 74. Kulingana na mkewe Lucy Mwaura, marehemu amekuwa akipokea matibabu katika hospitali moja…