Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais wa zamani wa Korea Kusini Yoon Suk-yeol amekamatwa tena leo Alhamisi na timu maalum ya waendesha mashtaka wa nchi hiyo. Yoon alikamatwa kwa tuhuma za kuzuia majukumu maalum ya…