Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kumekuwepo na visa vingi vya ajira ya watoto vilivyoripotiwa nchini Kenya na hivyo kuwanyima watoto waathiriwa haki ya kupata elimu. Wadau wanashinikiza kukomeshwa kwa visa hivyo mara moja.