Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka ameisuta serikali ya Kenya Kwanza kutokana na kile ambacho ametaja kuwa kodi kubwa wanayotozwa Wakenya. Aidha amelalamikia kupandwa kwa gharama ya maisha ambayo…