Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wauguzi katika Kaunti ya Isiolo wametia saini mkataba wa kurejea kazini na kukomesha mgomo wa miezi miwili uliosambaratisha huduma za afya katika hospitali zote za umma. Hatua hiyo iliafikiwa baada…