Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Matokeo ya tathmini ya gredi ya 9 KJSEA, yatatangazwa Disemba 11, 2025, huku shughuli ya kuteua shule watakazojiunga nazo ikitarajiwa kuanza wiki moja baadaye. Katibu wa Elimu ya Msingi Prof.…