Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mamlaka ya Ukusanyaji Mapato nchini, KRA imezindua rasmi kituo cha utoaji huduma kutoka mahali pamoja cha Malaba OSBP katika eneo hilo la mpakani, kaunti ya Busia. Kituo hicho kinakusudia kuharakisha…