Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwanamume mwenye umri wa miaka 55, amehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kumdhulumu kimapenzi mwanawe wa kike. Huku akikiri kosa hilo, mshtakiwa huyo alimwarifu…