Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu Rais Prof. Kithure Kindiki, ametoa wito kwa waliohitimu kuwa wapiga kura, kujitokeza kwa wingi na kujisajili, ili wapate fursa ya kushiriki katika Uchaguzi Mkuu ujao. Kindiki alisema mchakato wa…