Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Spika wa Bunge la Taifa Moses Wetang'ula ameitaka jamii ya Abagusii kujiepusha na siasa za kikabila anazosema zimepitwa na wakati. Amesema siasa kama hizo zina hatari ya kuitenganisha jamii hiyo…