Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa polisi kaunti ya Kirinyaga, wamewakamata washukiwa wawili wanaodaiwa kumuua Margaret Wandauma Maina mwenye umri wa miaka 72. Mwili wa mwanamke huyo ulipatikana Disemba 14, 2025 kwenye kichaka katika…