Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Viwanda 19 vya majani chai kote nchini vitanufaika na kitita cha shilingi bilioni 3.5, ili kuboresha miundombinu kama sehemu ya kuimarisha operesheni. Hatua hiyo inalenga kushughulikia juhudi za kuhakikisha operesheni…