Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Baada ya kuzinduliwa kwa mfumo wa ukusanyaji na usambazaji wa takwimu almaarufu KIAMIS, waziri wa kilimo na ustawishaji mifugo Dkt. Andrew Karanja, alisema mfumo huo umeimarisha utoaji maamuzi, uwazi na…