Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Bunduki tano na risasi 14 zimesalimishwa Trans Mara, kaunti ya Narok siku moja baada ya Rais William Ruto kuwaagiza wale wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuzisalimisha. Waziri wa Usalama wa…