Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Huku mabadiliko ya tabia nchi yakiendelea kuathiri kiwango cha mvua, wakulima katika ukanda wa pwani wametakiwa kukumbatia ukulima wa kisasa ili kuimarisha mazao yao. Akizungumza katika maonyesho ya kilimo biashara…