Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Kilimo na Ustawi wa Mifugo Mutahi Kagwe, amesema Kenya huagiza mayai bilioni tano kila mwaka kuziba nakisi ya zao hilo hapa nchini. Kulingana na waziri huyo, taifa hili…