Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa polisi kaunti ya Kiambu, wamewakamata washukiwa 24 kuhusiana na ghasia zilizozuka wakati wa maandamano ya Gen Z mnamo Juni 25,2025. Kulingana na Idara ya Upelelezi wa Makosa ya…