Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto ametoa wito wa kufanyiwa mageuzi taasisi za kimataifa za ufadhili, akitetea mfumo wa ushirikishwaji zaidi. Rais Ruto alisisitiza haja ya kuwepo demokrasia katika bodi za benki za…