Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto amesema kuwa serikali yake imejitolea kubadilisha mtaa wa Kibra kutoka mtaa duni hadi mtaa wa kisasa. Akizungumza siku ya Ijumaa alipokagua ujenzi wa nyumba za gharama nafuu…