Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Madaktari wa kaunti ya Kiambu wametangaza kusitisha mgomo uliodumu kwa miezi mitano sasa baada ya kuafikiana . Katibu Mkuu wa chama cha matabibu na wataalam wa meno (KMPDU) Devji Atella…