Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Chama cha wabunge wanawake hapa nchini (KEWOPA), kimeazimia kukumbatia sheria za mabunge ya kaunti kuhusu theluthi mbili ya uwakilishi sawa wa kijinsia, kuhakikisha sheria hiyo inatekelezwa katika bunge la kitaifa.…