Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mshukiwa wa mauaji Kevin Kang’ethe, aliyesafirishwa kutoka Kenya kuelekea Marekani siku ya Jumapili, amenyimwa dhamana baada ya kukanusha mashtaka ya mauaji dhidi yake. Kang'ethe anadaiwa kumuua mpenzi wake Margaret Mbitu,…