Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwanamume mmoja ameripotiwa kufariki katika mahakama ya Bungoma leo Jumanne wakati akimsubiri wakili wake kuwasili ili kupisha kusikilizwa kwa kesi yake. Idara ya Mahakama inasema mwanamume huyo aliletwa mahakamani akiwa…