Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wakurugenzi wa halmashauri mbili za barabara hapa nchini, wamejiuzulu kutoka kwa nyadhifa zao mara moja.< Mhandisi Kungu Ndungu, amejiuzulu wadhifa wa Mkurugenzi Mkuu wa Halmashauri ya Barabara Kuu Nchini (KeNHA),…