Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Gavana wa Kericho Erick Mutai alibanduliwa jana jioni katika kikao kilichochukua zaidi ya saa 10 katika bunge la Kaunti ya Kericho. Jumla ya wawakilishi wadi 33 walipiga kura kuunga mkono…