Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto amewateua mabalozi 23 na wasaidizi watakaohudumu katika mataifa ya kigeni baada ya kuidhinishwa na bunge la kitaifa. Mabalozi walioteuliwa ni pamoja na:-Fred Outa aliyetumwa mjini Cairo nchini…