Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kisa cha moto kiliripotiwa usiku wa kuamkia leo katika shule ya sekondari ya Katoloni katika kaunti ya Machakos. Shirika la msalaba mwekundu nchini liliripoti kwamba shughuli ya kuzima moto huo…