Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Upepo mkali sana umeripotiwa katika maeneo mbalimbali ya pwani ya Kenya kutokana na dhoruba ya Tropiki IALY. Kulingana Na shirika la msalaba mwekundu, upepo huo uliathiri eneo la Majajani kaunti…