Wanne wakamatwa kuhusu ulaghai wa zabuni ya magereza

Wanne hao walibuni mpango wa ulaghai ambapo walijisingizia kuwa maafisa wa ngazi za juu katika idara ya magereza na kumtapeli mfanyabiashara mmoja shilingi elfu 105.

Impressive Mobile First Website Builder

Ready for Core Web Vitals, Support for Elementor, With 1000+ Options Allows to Create Any Imaginable Website. It is the Perfect Choice for Professional Publishers.