Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maeneo nchini yanatarajiwa kuendelea kupokea mvua kubwa katika kipindi cha wiki moja ijayo. Kwa mujibu wa idara ya utabiri wa hali ya hewa, maeneo ya nyanda za kati, Nairobi, maeneo…