Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto amependekeza kwamba matumizi ya fedha za umma yapunguzwe pakubwa katika afisi kuu za nchi kufuatia kutupiliwa mbali kwa mswada wa fedha wa mwaka 2024. Akihutubia taifa kutoka…