Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Shirika la Ndege la Kenya Airways (KQ), limeongeza safari zake za ndege kuelekea Kisumu mwishoni mwa wiki kabla ya mazishi ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga siku ya Jumapili. Kupitia ukurasa…