Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mamlaka ya usimamizi wa barabara kuu nchini, KeNHA, imetangaza kufungua barabara kuu ya Nakuru–Eldoret. Hii ni baada ya barabara hiyo kufungwa kwa muda. Barabara hiyo ilikuwa imefungwa baada ya kuharibiwa…