Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Dkt. Ezekiel Mutua ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Hakimiliki za Muziki Nchini Kenya, MCSK amezungumza baada ya kulaumiwa na bodi inayosimamia hakimiliki nchini kwa kutogawa mirabaha inavyofaa. Bodi…