Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Jumla ya visa 19 vya wizi wa mtihani unaoendelea wa kidato nne, KCSE vimeripotiwa nchini kufikia sasa. Hayo yamesemwa na Waziri wa Elimu Julius Ogamba leo Ijumaa asubuhi wakati akifungua…